September 20, 2017

IGP SIMON SIRRO AKIWA KATIKA ZIARA YA KIKAZI MERERANI MKOANI MANYARA

  01
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na wananchi wa Mererani baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dk.John Magufuli kufungua barabara ya kiwango cha lami cha kilometa 26 kutoka KIA hadi Mererani.
02
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo (kulia) na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Hamisi Suleiman katika uwanja wa ndege wa KIA wakati wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dk.John Magufuli.
Picha na Jeshi la Polisi

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE