September 20, 2017

HOT NEWS ZITTO AKAMATWA NA POLISI

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na Polisi muda huu uwanj a wa ndege wa JNIA, Dar es salaam wakati akitoka Kigoma.

Kwa sasa wanasheria wa chama wanafuatilia kujua sababu za kukamatwa kwake
Abdallah Khamis
Afisa Habari - ACT Wazalendo

Mbunge huyo natarajia kusafirishwa kesho kwenda Dodoma kuhojiwa na kamati ya bunge maadili kama ilivyo kwa kubenea aliyeugua ghafla leo baada ya kufikishwa Dodoma kisa ni kauli tata 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE