September 7, 2017

HOT NEWS .RAIS DKT MAGUFULI AWAWEKA ACHUKUA HATUA KWA MAWAZIRI WA MADINI


Rais  Dkt  John Magufuli  amesema  kuwa hata  wavumilia  mawaziri  walioteuliwa mawaziri  wake  aliowateua ambao  wamehusika katika  ripoti ya madini .

Akizungumza  leo wakati wa kupokea  ripoti ya  tume ya kuchunguza sakata ya madini  Ikulu  amesema  kuwa anaamini wote  waliotajwa kwenye  ripoti  hiyo  watakaa pembeni  kwani haamini kama  wataendelea kuwepo katika nafasi  zao.

" Unaposaini  mkataba mkubwa kama huo kweli  unaitendea  nini  nchi yako naomba  sana  waliotajwa kwenye  ripoti  watakuwa  wamenisikia nawapongeza  sana wabunge na  watanzania  wote  kwa kuendelea  kulitumikia  Taifa vema "

Rais   amesema  kuwa  wapo  wengine ni  viongozi ambao  wametajwa na  kuwa  iwapo  kama  kuna shida katika sekta  hiyo  ya  madini basi ni  vema  kufunga  kuliko  kuendelea  kuibiwa .

" naomba  waziri  mkuu  kuitisha  kikao na  watalamu  wote  wa  madini na kamati  ili kukaa kwa  ajili ya  kubadilisha  sheria ya  madini kwa  hiyo hatujachelewa  huu  ndio  wakati  wa kubadilisha  sheria  hii tunatubu mbele  yenu  wazee  kuwa  tulikotoka  hatukukubali  ila  tulikubali  tutumiwa "

Asema  kuwa Mungu  hakuumba  vyama  aliumba  watanzania  hivyo  lazima kuweza kutambua  kuwa  wajibu ni  kutanguliza utangazani  kwanza  badala ya  vyama .

Taarifa  yote  itakujia  hivi  punde furahi  kuwa matukiodaima 
0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE