September 11, 2017

DC MHONGO AFUNGUA MKUTANO WA PRESS CLUB ARUSHA LEO


Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Theresia Mhongo wa pili kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa APC Claud Gwandu wa kwanza kushoto, Makamu Mwenyekiti Charles Ngereza wa tatu kutoka kushoto na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Karatu Bw. Mourice wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa APC 2017 uliofanyika ukumbi wa KKK Karatu.(Picha na PamelaMollel Arusha)
 
 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa APC wakisikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Karatu Theresia Mhongo(hayuko pichani),
Mkuu wa Wilaya ya Karatu Theresia Mhongo akielekea kupiga picha ya pamoja na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kufungua mkutano mkuu wa APC 2017 katika ukumbi wa KKKT Lutherani Karatu

 Mjumbe wa mkutano mkuu wa APC, Nerbert Mramba katikati akichangia mada kwenye mkutano Mkuu wa APC 2017 katika ukumbi wa KKKT Lutheran.
 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa APC waandishi wa habari wa vyombo vya habari mbalimbali nchini wakiwa katika picha ya pamoja katika lango la kuingilia hifadhi ya Taifa Tarangire
Viongozi wa APC kutoka kushoto Pamela Mollel (Mwekahazina), Claud Gwandu (Mwenyekiti), na Charles Ngereza (Makamu Mwenyekiti) wakisikiliza wajumbe wa mkutano mkuu wa APC uliokuwa ukiendelea katika ukumbi wa KKKT Karatu.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE