September 7, 2017

BREAKING NEWS; WAZIRI SIMBACHAWENE AJIUZULU

Image result for sIMBACHAWENETaarifa  zilizoufikia mtandao  huu  wa matukiodaima  hivi  punde  zinaeleza  kuwa  waziri  wa Tamiseni George  Simbachawene  amejiuzulu  nafasi yake  baada ya  rais  Dkt  John Magufuli  kutaka wajiondoe katika nafasi zao  kufuatia  kutajwa  kwenye ripoti ya madini  na kamati iliyoundwa  kuchunguza suala  hilo.

Waziri  huyo  amedaiwa  kuachia  nafasi yake  leo huku  mawaziri  wengine wapo  mbioni kuachia nafasi  zao  au  kusubiri  kutumbuliwa .

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE