September 7, 2017

BREAKING NEWS RAIS WA TLS TUNDU LISU APIGWA RISASI

TAARIFA zilizotufikia ni kwamba Rais wa chama cha mawakili Tanganyika (TLS) Tundu Lisu amepigwa risasi tano na watu wasiojulikana na amekimbizwa hospitali

Tukio hilo limetokea mjini Dodoma mchana wa leo nyumbani kwake Area D akiwa ktk gari yake akijiandaa kwenda Bungeni

Habari zaidi itakujia

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE