September 24, 2017

BREAKING NEWS MBUNGE MSIGWA AKAMATWA NA POLISI MKUTANONI IRINGA

Mbunge  wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa (Chadema) amekamatwa na  jeshi la  polisi  jioni hii akiwa katika mkutano wa hadgara  eneo la Mlandege mjini Iringa habari kamili  inakuja

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE