September 10, 2017

AGAKHAN DEVELOPMENT NETWORK (AKDN) WAFADHILI MRADI WA MAJI IDODI NA PAWAGA IRINGA

Ugeni wa Aghakhan wakiwasili kuzindua mradi 
Mbunge wa Ismani William Lukuvi ambae ni waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi akimpokea mgeni wake makamu wa Rais jumuiya ya Ismailia Tanzania Kamal Khimji 
RC Iringa Amina Masenza akisalimiana na makamu rais wa jumuiya ya Ismailia nchini Tanzania Leo
Bango la wafadhili wa mradi wa maji Idodi ,mradi unaozinduliwa Leo 
Waziri Lukuvi akisalimiana na wasanii wa kikundi cha ngoma shule ya msingi Idodi leo 
Mbunge wa jimbo la Isimani waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Wiliam Lukuvi akisalimiana na wananchi wa Mapogolo Jimboni Ismani Leo kabla ya zoezi ya uzinduzi wa kisima cha maji 

Kingongwe akisalimiana na Lukuvi

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE