August 2, 2017

WEZI WAJA NA MBINU MPYA ,WATUMIA PUNDA KUIBA MAGARI

       
                                   A pace of donkeys are photographed next to a stolen vehicle                                     Punda watumiwa kuiba magari kutoka Afrika kusini kwenda Zimbabwe                
Polisi nchini Afrika Kusini wametibua jaribio la kulisafirisha gari moja la kifahari lililokuwa limeibwa kwenda nchini Zimbabwe kwa kutumia punda kupitia mto Limpopo.
Washukiwa walitoroka kwenda vichakani kueleka upande wa zimbabwe baada ya jitihada zao za kulikwamua gari hilo kutoka kwenye mchanga kushindikana.
Disemba iliyopita gari lililokuwa limeibwa kutoka mjini Durban lilipatikana mtuo huo huo likiwa limefungiwa kwa kutumia kamba kwa kundi la punda.
Polisi wanachunguza ikiwa kuna genge linalohusika na wizi huo.
Mto Limpopo ndio mpaka kati ya Afrika Kusini na Zimbabwe na ni maarufu kama njia wanayopitia wahamiaji haramu kati ya nchi hizo mbili, lakinia ataraiga za mto huo kutumia kupitisha magari yaliyobwa bana za kushagza.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE