August 8, 2017

WANACHAMA SIMBA TAWI LA IRINGA WATOA MISAADA KWA WAGONJWA KUSHEREKEA SIMBA DAY

Katibu wa Tawi la Simba mkoa wa Iringa John Sichone akikabidhi msaada kwa wagonjwa hospitali ya rufaa mkoa wa Iringa leo kuadhimisha simba Day 
Wanachama klabu ya Simba wakitoa msaada leo Simba Day 
Wagonjwa wakipokea misaada toka kwa wanachama wa Simba mkoa wa Iringa

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE