August 7, 2017

VINYOZI NA MAMALISHE IRINGA WAPIGWA BUTWAA NA TRA KUWABANA MASHINE ZA EFDS

Mmoja kati ya  vinyozi  mjini  Iringa  aliyetakiwa  kununua mashine ya  EFDS
Mfanyabiashara  wa  mgahawa  Iringa  Michael  Saimon  akionyesha mashine ya  EFDs  aliyonunua  baada ya  kufungiwa na TRA
............................................................................................................................................................


NA MatukiodaimaBlog

VINYOZI  na  wenye  migahawa   waliopanga   vyumba  eneo la  Miyomboni  mjini Iringa walizwa na  mamalaka  ya mapato Tanzania (TRA)  mkoa  wa  Iringa baada ya  kufungiwa  biashara  zao   kutokana na  kutokuwa na mashine  za  kieletroniki EFDs kwa  ajili ya  kutolea  risti .

Uchunguzi   uliofanywa na mtandao  huu wa  matukiodaimaBlog  kutokana na  zoezi hilo lililofanyika  takribani  wiki  mbili  zilizopita baada ya  wafanyanyabiashara  walikubwa na msako  huo  wa kufungia  biashara  zisizo  kuwa na mashine  hiyo huku  biashara  kama   hizo hizo zilizopo  nje ya  eneo  hilo la Miyomboni  wakiachwa bila  kufungiwa milango  yao.

Soma zaidi gazeti la Mtanzania kesho kwa habari zaidi 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE