August 28, 2017

SOMA HABARI ZA MICHEZO TU MAGAZETI YA LEO AUGUST 28/2017 KWA HISANI YA LIPULI FC KIBOKO WA YANGA

Wadau wa soko mkoa wa Iringa na watanzania wenye mapenzi mema na timu ya Lipuli FC mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza anaipongeza timu ya Lipuli FC kwa mchezo wake wa Yanga kuwa ni mchezo mzuri unaoonyesha mwanga kwa timu hivyo kufanya vizuri ligi kuu na hata kuchukua ubingwa ligi kuu msimu huu hivyo ili kuipa nguvu timu kwa pamoja tushiriki kuichangia kwani kwa umoja wetu timu itasonga mbele

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE