August 14, 2017

RC IRINGA AZINDUA 4G LTE YA TTCL AWATAKA WANANCHI KURUDI NYUNBANI KUPENDA MTANDAO WA TTCLMkurugenzi mkuu wa Kampuni ya TTCL nchini waziri  Kandamba akitoa maelezo Kabla ya uzinduzi wa mtandao wenye kasi kubwa 4G LTE Leo
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kaseseka akihimiza wananchi kutumia mtandao wa TTCL
mwakilishi wa mkuu wa mkoa wa Iringa Amina  Masenza, mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdalah akizindua mtandao wa TTCL 4GLTE leo 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE