August 28, 2017

NAIBU SPIKA DKT TULIA ATEMBELEA TAASISI YA JKCI

 Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimuelezea Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson alipotembelea wodi ya watoto katika taasisi hiyo kwa ajili ya kutoa msaada. Dkt. Tulia kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust kwa kushirikiana na Dstv, Twincity pamoja na TSN Supurmarket ametoa msaada wa jozi nne za TV na maziwa katoni mbili.  Katikati ni Mkurugenzi wa Dstv Tanzania Maharage Chande.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akiwa amembeba mmoja wa watoto waliolazwa katika Taaisisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipotembelea wodi ya watoto hao kwa ajili ya kutoa msaada leo Jijini Dar es Salaam. Mhe. Dkt. Tulia kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust ametoa msaada wa jozi nne za TV, maziwa ya unga pamoja na ving’amuzi vya Dstv.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na baadhi ya watoto wenye matatizo ya moyo waliolazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipotembelea wodi ya watoto hao kwa ajili ya kutoa msaada leo Jijini Dar es Salaam. Dkt. Tulia kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust kwa kushirikiana na Dstv, Twincity pamoja na TSN Supurmarket ametoa msaada wa jozi nne za TV na maziwa katoni mbili.
 Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimuelezea Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson alipotembelea wodi ya watoto katika taasisi hiyo kwa ajili ya kutoa msaada. Dkt. Tulia kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust kwa kushirikiana na Dstv, Twincity pamoja na TSN Supurmarket ametoa msaada wa jozi nne za TV na maziwa katoni mbili. Katikati ni Mkurugenzi wa DSTV Tanzania Maharage Chande.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja  na baadhi ya watoto wenye matatizo ya moyo waliolazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipotembelea katika taasisi hiyo kwa ajili ya kutoa msaada leo Jijini Dar es Salaam.
Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE