August 12, 2017

MATOKEO YA UCHAGUZI TFF KARIA AWA RAIS TFF

matokeo ya uchaguzi mkuu TFF  yameanza kujulikana ambapoPresident: Wallace Karia na makamo wake ni  Michael Wambura
Zone 1: Saloum Chama
Zone 2: Vedastus Lufano
Zone 3: Mbasha Matutu
Zone 4: Sarah Chao
Zone 5: Issa Bukuku
Zone 6: Kenneth Pesambili
Zone 7: Elias Mwanjala
Zone 8: James Mhagama
Zone 9: Dunstan Mkundi
Zone 10: Mohamed Aden
Zone 11: Francis Ndulane
Zone 12: Khalid Abdallah
Zone 13: Lameck Nyambaya

Wegine waliogombea nafasi ya urais na kura walizoambulia ni
Wagombea Urais wa TFF na kura zao...

Emmanuel Kimbe -1
Fredy Mwakalebela -3
Imani Madega -8
Richard Shija -9
Ally Mayai -9
Wallace Karia -90

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE