August 8, 2017

MATOKEO YA UCHAGUZI KENYA : ODINGA AONGOZA ARUSHA TANZANIA

Odinga aongoza matokeo ya urais Arusha
Shughuli ya kuhesabu kura za Wakenya wanaoishi nje ya nchi, ambao wamepigia kura mjini Arusha, Tanzania imekamilika.

Raila Odinga amepata kura 92, naye Uhuru Kenyatta 68.

Ekuru Aukot wa Thirdway Alliance amepata kura 2.

Upigaji kura umekuwa ukifanyika Arusha, katika katika balozi za Kenya miji ya Dar es Salaam, Kigali, Kampala na Pretoria.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE