August 14, 2017

MANCHESTER UNITED ILIVYOANZA LIGI KWA KISHINDO

Straika wa Romelu Lukaku akishangilia baada ya kutupia dhidi ya West Ham United katika Ligi Kuu ya England ‘Premier League’.
Pogba na Lukaku wakipongezana.
Paul Pogba akishangilia baada ya kutupia.
Mchezo ukiendelea.
Straika wa Romelu Lukaku ameanza vizuri maisha ya Manchester United baada ya kuiongoza timu yake hiyo kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya West Ham United katika Ligi Kuu ya England ‘Premier League’.
Lulaku ambaye alikuwa akicheza mchezo wake wa kwanza wa Premier League akiwa na kikosi chake hicho kipya, alionyesha uwezo mzuri na kutupia mabao mawili hivyo kuwa na mwanzo mzuri.
Lukaku alifunga mabao yake katika dakika ya 33 na 52 wakati bao la tatu liliwekwa wavuni na Anthony Martial katika dakika ya 87 baada ya kuingia akitokea benchi pamoja na Paul Pogba dakika ya 89 ambapio alipiga shuti kali lilijaa wavuni kutoka nej ya eneo la 18.
MANCHESTER UNTIED: De Gea, Valencia, Blind, Jones, Bailly, Matic, Pogba, Mkhitaryan (Lingard 88), Mata (Fellaini 76), Rashford (Martial 80), Lukaku.
SUBS NOT USED: Romero, Darmian, Smalling, Herrera.
GOALS: Lukaku 33, 53; Martial 87; Pogba 90
BOOKINGS: Bailly, Valencia
WEST HAM: Hart; Zabaleta, Reid, Ogbonna, Masuaku (Cresswell 81); Noble (Rice 61), Obiang; Fernandes (Sakho 60), Arnautovic, Ayew; Hernandez.
SUBS NOT USED: Bryam, Collins, Fonte, Adrian.
BOOKINGS: Zabaleta, Ogbonna
REFEREE: Martin Atkinson

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE