August 8, 2017

JARIBIO LA KURA YA KUMPINGA RAIS ZUMA YAKWAMA

Kura ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini iliyopigwa leo na wabunge imegonga ukuta baada ya wabunge  198 kupiga kura ya kuwa na imani na Rais Zuma huku wabunge  177 ndio waliomkataa 

Hivyo kwa matokeo hayo Rais Zuma ataendelea kuwa Rais 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE