August 24, 2017

BREANKING AJALI MBAYA MOROGORO


Taarifa iliyothibitishwa na jeshi la polis mkoa wa Morogoro kuna ajali ya Treni na daladala maeneo ya NUNGE ambapo daladala moja iliigonga tren iliyokuwa ikipita maeneo ya karibu na station ya Morogoro, tunaendelea kufuatilia hospitali kujua idadi kamili ya majeruhi, afya zao na jinsi wanavyoendelea na tutafuatilia haki zao,
Tutaendelea kutoa taarifa zaidi
LEONARD N. MAPUNDA
Afsa msimamizi mkuu Morogoro
(Kaim katibu mkuu CHAKUA-Tanzania)

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE