August 2, 2017

BREAKING NEWS BASI LA SHARON KUTOKA ARUSHA KWENDA IRINGA LAPATA AJALI

TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la kampuni ya sharon kutoka Arusha kwenda Iringa limepata ajali leo eneo la Bereko wilaya ya kondoa
kwa mujibu wa shuhuda wa mtukiodaimablog kuwa   ajali hiyo  imeua kondakta na abiria mmoja na wengine ni majeruhi

Habari zaidi tutazidi kuwapasha 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE