August 24, 2017

AJALI YA BASI LA KIMINYIKO JIONI YA LEO GAIRO


Kuna taarifa ya ajali ya basi la kampuni ya kimbinyiko international toka Dom kwenda
Dar limepinduka Gairo jioni ya Leo jitihada za kujua madhara zinafanyika 

Tukio hili kwa udhamini wa duka jipya la simu za Tecno mjini Iringa lipo uhindini jengo la Bottoms  simu ni orijino bei ya kiwandani mfano simu shilingi 36,000 maduka ya kawaida wao ni shilingi 200,000 pekee amini Tecno ni mkombozi wa kweli 

Piga simu 0757719559/ 0756709056https://youtu.be/OVLwaDrr9Pk

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE