July 29, 2017

WAGHANA WA SINGIDA WACHEZEA KICHAPO CHA 1-0 KWA WAGANA WA IRINGA LIPULI FC

WAGHANA wa Singida wachezea kichapo kwa waghana wa Iringa katika mchezo wa kirafiki uwanja wa Samora leo. 

Katika mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa Samora na kushuhudiwa na waziri wa mambo ya nchi Mwigulu Nchemba wagana wa Singida wamechezea kichapo hicho ktk kipindi cha kwanza kupitia mchezaji nguli Machaku Salum. 

Bado Waghana wa Singida wanayosafari ndefu katika ligi kuu japo ni sehemu ya maandalizi ya ligi kuu. 

Singida ni moja Kati ya timu zilizosajili kwa mbwembwe kubwa na kujigamba kuwa ina wachezaji wa nje ila Kwa waganga wahehe wa Iringa imenoa 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE