July 31, 2017

WAFANYABIASHARA MAGARI MABOVU WAKIMBIA SOKO SIKILIZA RADIO NURU FM LEO SAA 3-4 ASUBUHI

Soko la magari mabovu mjini Iringa ambalo limekimbiwa na wafanyabiashara kutokana na kukosa wateja 
Wafanyabiashara wachache wakiwa katika soko hilo muda huu 
Meza nyingi zikiwa tupu 
Soko hili limejengwa kwa mamilioni ya shilingi ila limekuwa halitumiki ipasavyo kutokana na wafanyabiashara ndogo ndogo kuendelea kuuza nje ya soko la machine tatu 

Sikiliza maoni ya wafanyabiashara wa soko la magari mabovu leo saa 3:00-saa 4:00 asubuhi kupitia radio Nuru Fm 93.5 ( mhz)  kwa mkoa wa Iringa au ungana nasi Fg matukiodaima 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE