July 3, 2017

VIJANA MANISPAA YA IRINGA WANAVYOSIMAMIA SHERIA

Kijana wa kikundi cha tuwezeshe Group cha mjini Iringa Manet Charlesy akifunga basi  lenye namba T189 BDW mali ya shule ya S.T.Dominic Savio Per unit  ambalo liliegeshwa jana mchana eneo la maktaba ya mkoa barabara kuu ya Iringa -Dodoma eneo ambalo haliruhusiwi kisheria vijana hao hukamata magari na kupeleka manispaa kutozwa faini 50000 na wao hulipwa yao 20,000 


0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE