July 12, 2017

UFUGAJI WA NYUKI WAPUNGUZA UJANGILI HIFADHI YA MAZINGIRA YA ASILI KILOMBERO ...

ELIMU bora  ya  ufugaji  nyuki yafanikisha  wananchi kata  ya  Udekwa wilaya ya  Kilolo  mkoa  wa Iringa ambao wanaozunguka   hifadhi  ya  misitu ya  asili ya kuachana na vitendo  vya ujangili pamoja na uharibifu wa  mazingira.
Festo  Mhanga  ni  mkazi  wa  kijiji  cha  Udekwa  wilaya ya  Kilolo  anasema kuwa  awali  kutokana na  kutokuwa na  elimu  na shughuli  ya uhakika  ya kumpatia pesa alijiunga na baadhi  ya watu   kwa  lengo la  kutafuta  pesa kwa kujihusisha na  vitendo  vya  ujangili katika  hifadhi  hiyo ya  Kilombero ila  baada ya  kupewa  elimu ya  ufugaji  wa  nyuki  wa kisasa yeye  pamoja na  wenzake  walijikita  katika  ufugaji  wa  nyuki na  samaki na  sasa  kikundi chao  ambacho  kilikuwa  kikundi  hatari  cha  ujangili sasa  kimekuwa  ni kikundi  cha kulinda raslimali  za Taifa “

USIKOSE  KUNUNUA  GAZETI LA  RAI KESHO  ALHAMIS JULAI 13 /2017

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE