July 24, 2017

HATIMA YA TUNDU LISU KUFAHAMIKA LEO, MKOJO WAKE BADO WAFANYIWA UCHUNGUZI...

wakati polisi wakiendelea kuushikilia mkojo wa mwanasheria wa Chadema na Rais wa chama cha mawakili Tanganyika  Tundu Lisu kwa uchunguzi zaidi, hatma ya Lisu kujulikana Leo kama atafikishwa mahakanani na kupewa dhamana ama kuendelea kusota mahabusu. 

Mwanasheria huyu ambae anakabiliwa na tuhuma za uchochezi alikamatwa wiki iliyopita akiwa njiani kuelekea nje ya nchi kwa vikao vya wanasheria Afrika 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE