July 12, 2017

TULIFUFUA KINU CHA NMC IRINGA BAADA YA RAIS JPM KUAGIZA ....


‘’TULIANZA  mara  mmoja ufufuaji  wa  kinu cha shirika la usagishaji  la Taifa (NMC)  Iringa baada ya  kauli ya Rais Dkt  John Magufuli  aliyoitoa katika  uwanja wa Samora  wakati wa  mkutano  wake wa kampeni  za  Urais mwaka 2015 kuwa anataka kuona NMC inafanya kazi  kabla hata  ya  kuapishwa kwake ‘’

Wakati maeneo mbali mbali ya Tanzania  viwanda  vingi vilikufa baada  ya  sera ya ubinafsishaji  kubinafsisha  viwanda  mbali mbali vidogo ,vikubwa na vya kati  kwa  kipindi  cha serikali ya  awamu ya tatu chini ya  Rais Benjamin Mkapa , hali ya   kufufua viwanda  hivyo na  kuongeza   viwanda  vipya kama  hitaji  la  serikali ya  awamu ya tano  ya kuona   kauli  mbiu yake ya  serikali ya  uchumi wa  viwanda  inafanikiwa  kumkomboa Mtanzania kasi  hiyo  imeanza  kuonekana katika  mkoa  wa Iringa.
USIKOSE  GAZETI LA  RAI KESHO  ALHAMISI JULAI 13/2017

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE