July 6, 2017

TUIANZE SIKU KWA SALA.....


Tunakushukuru Mungu kwa kutuamsha salama asubuhi ya leo kwani si wote wamefanikiwa kuiona siku hii njema na si kwamba sisi ni wema zaidi yao.

Hivyo Mungu twajinyenyekeza mbele zako tukiomba uwepo wako siku hii ya leo shinda nasi popote tutakapo kuwa tuepushe na mitego ya adui shetani ktk kazi zetu, safari, biashara, kazi zetu na masomo kwa wale wote waliopo masomoni.

Mungu tuliomba ubariki Taifa letu Tanzania na mpe afya njema Rais wetu Dkt John Magufuli na viongozi wote wazidi kukutanguliza wewe katika kutuongoza .

Asubuhi hii tunawaombea wote wenye hida mbali mbali na uzidi kuwaondoa na hofu wananchi wa Kibiti shusha malaika wako awaepushe na roho za kinyama dhidi yao.

Katika jina la Yesu kristo tunaomba na kuamini

AMEN

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE