July 24, 2017

SOKA LA BONGO NA CHANGAMOTO ZAKE...

Timu ya Njombe mjini mkoani Njombe ni moja kati ya timu zilizopanda kucheza ligi kuu pamoja na Lipuli FC ya Iringa ila zipo changamoto japo hazifanani kwa kila timu ila kila moja na yake wakati Lipuli FC inajivunia uwanja mzuri wa Samora, Njombe mjini kwa uwanja huu wa Amani Makambako duh acheni changamoto ya uwanja muifanyie kazi 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE