July 15, 2017

RC IRINGA ASHUHUDIA FAINALI YA RITA KABATI 2017 AONYA NIDHAM MBAYA YA TIMU YA POLISI

Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akifungua mchezo wafainali ya Rita Kabati kati ya Ruaha  na Mucoba FC 

Mwamuzi Rashid Shungi akimpokea mkuu wa mkoa  
Timu ya Mucoba ktk picha ya pamoja na meza kuu
Wachezaji wa Ruaha wakiwa ktk picha ya pamoja na meza kuu 

MKUU wa mkoa wa Iringa Amina Masenza amepongeza jitihada za nbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati kwa kuhamasisha michezo kupitia mashindano  yake ya Ritta Kabati Challenge cup 2017.

Mkuu huyo wa mkoa ametoa pongezi hizo leo katika uwanja wa chuo cha ualimu Kreluu wakati wa fainali kati ya Mucoba FC na Ruaha. 

Alisema amependezwa na mashindano hayo na kuwa yameendeshwa kwa uratibu mzuri japo timu ya polisi FC ndio ambayo ilitaka kuvuruga mashindano hayo. 

Mkuu huyo wa mkoa alisema timu ya polisi ilionyesha utovu wa nidhamu katika mashindano hayo jumbo ambalo ni utovu mkubwa wa nidhamu. 0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE