July 26, 2017

RC IRINGA AFUNGUA JUKWAA LA USHIRIKA MKOA WA IRINGA LEO

Taarifa ya ushirika mkoa wa Iringa ikisomwa leo ktk ukumbi wa siasa ni kilimo 
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza mwenye kilemba chekundu akiwa na mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdalah kulia  mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela na viongozi wengine
Washiriki wa jukwa la ushirika mkoa 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE