July 31, 2017

ODINGA AFANYA KAMPENI KWA BODABODA KENYA


Mgombea urais nchini Kenya Raila Odinga akifanya kampeni kwa kutumia usafiri wa bodaboda leo nchini kenya huku akisema akichaguliwa kuwa Rais ataangalia maslahi mapana ya bodaboda kwani wanamchango mkubwa ktk sekta ya safari wa watu wa hali ya chini na kuwezesha kukwepa misongamano ya magari 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE