July 23, 2017

ONA MAAJABU YA WASIO ONA HAWA

Watoto wa watu wanyeulemavu wa kutoona kutoka Mbalizi Mbeya wakimalizia kuaandaa kiti ambacho kiliuzwa kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzaniani (KKKT)  ushariki wa Iringa mjini leo kwa njia ya mnada, walemavu hawa ni mafundi wazuri wa kuchanganya rangi na kufuma japo hawaoni 
Hapa walemavu wao wa macho wakiendelea kuchanganya rangi katika ufumaji
Mungu hamnyimi mtu kila kitu

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE