July 23, 2017

'MUBASHARA' UCHAGUZI WA VIONGOZI KLABU YA LIPULI FC ,FFU WAWEKA ULINZI

Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia FFU mkoa wa Iringa wakiwa wameweka ulinzi ukumbi wa Shule ya sekondari Mwembetogwa unaotumika kufanya mkutano mkuu wa uchaguzi wa klabu ya Lipuli FC leo
Wanachama Lipuli FC wakiwa ukumbi wa mkutano mkuu 
Ushirikina nje nje nazi na mayai yaliyoandikwa kiharabu yavunjwa mlango wa kuingilia wajumbe 
kumbuka tupo live ktk mtandao wa matukiodaima Fecebook 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE