July 26, 2017

'MUBASHARA" AZAM FC WAONGOZA GOLI NNE DHIDI YA LIPULI FC

mashabiki wa timu ya Lipuli FC wakiwa ktk foleni ya tiketi kuingia uwanja wa samora
Mchezo wa kirafiki kati ya Lipuli FC na Azam FC uwanja wa samora timu ya Azam inaongoza goli 4-0 kipindi cha pili 

Mfungaji wa goli la kwanza Yakubu Mohamed, goli la pili waziri Junio na tata Yahaya Mohamed huku goli la nne likifungwa na mchezaji Shua Boy 


0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE