July 23, 2017

MSANII MSANII KING MAJUTO AZUSHIWA KIFO......

msanii mkongwe nchini mzee King Majuto akiwa leo na mwanahabari Hassan Hashim wa Channel Ten, kuna uzushi mitandaoni kuwa amefariki dunia ukweli msanii huyu ni mzima wa afya japo siku za hivi karibuni alikuwa akisumbuliwa kifaya ila ni mzima mtandao huu wa matukiodaima umefuatilia ukweli wa taarifa za mitandaoni 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE