July 18, 2017

MOTO AMBAO CHANZO HAKIJULIKANI WATEKETEZA NYUMBA MSEKE IRINGA

Wananchi wa kijiji cha Mseke Iringa wakitazama gari la zimamoto toka Manispaa ya Iringa likizima Moto uliokuwa unateketeza nyumba ya mkazi wa Mseke chanzo cha moto huo hakifahamiki na mwenyenyumba anadaiwa kuwa shamba 
Zoezi la kuzima Moto huo likiendelea 
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo Moto huo umeanza kuwaka ghafla mida ya saa 8 mchana wa leo 

Taarifa zaidi utaipata 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE