July 21, 2017

MJANE AANGUA KILIO MBELE YA LUKUVI ALALAMIKA KUDHULUMIWA KIWANJA

Mwanamke  Mjane  ambae  jina lake halikuweza kupatikana mara  moja  akilia huku  akiwa amepiga magoti    mbele za  waziri wa ardhi nyumba na maendeo ya makazi Wiliam Lukuvi leo   wakati waziri huyo  akitoka  ukumbi wa Lugalo kuzindua Masta Plan ya Manispa ya Iringa ,mwanamke  huyo anadai kudhulumiwa  kiwanja  chake 
Hapa  akimwonyesha  baadhi ya  vielelezo  
Waziri  Lukuvi  akifafanua  jambo  baada ya  kumsikiliza  mwanamke huyo ambaye aliondoka kwa furaha 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE