July 28, 2017

HABARI ZA KILA DAKIKA :MASHINDANO YA MBIO ZA MAGARI KUFANYIKA MWEZI UJAO IRINGA

mwenyekiti wa klabu  ya mbio  magari mkoa wa Iringa Himid Mbata amesema wanataraji kufanya mashindano madogo ya mbio za magari mapema mwezi ujao. 

Mbata amesema hayo hivi punde alipozungumza na mtandao huu na kuwataka na wanaotaka kushiriki kujiunga na chama hicho. 

Habari kamili inakuja 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE