July 28, 2017

LIPULI FC KUJIULIZA KWA SINGIDA UNITED KESHO UWANJA SAMORA


Tar 29/07/2017(Kesho) SINGIDA UNITED ilitarajia kucheza mechi ya kirafiki na Lipuli Fc ya Iringa hapa Dodoma (Jamhuri Stadium).
Usiku wa leo, Lipuli kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao wametuomba twende tukacheze mechi hiyo pale uwanja wa Samora Iringa siku ya kesho.

Tunaomba radhi mashabiki wetu, tumejitahidi kuhakikisha mechi hii inafanyikia Dodoma lakini tumekwama.

Hivyo kikosi cha Singida United kinaondoka leo mchana hapa Dodoma kwenda Iringa kuwafuata Wanapaluhengo (Lipuli Fc).

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE