July 28, 2017

KAMPUNI YA BARRICK KUANZA MAZUNGUMZO NA SERIKALI

Taarifa za hivi  punde  ambazo mtandao huu wa matukiodaima umezipata kupitia kwanza TV zinadai  kuwa  kampuni ya Barrick  imetangaza  kuanza mazungumzo rasmi na serikali  ya  Tanzania  kufuatia ripoti za  tume ya Rais Dkt  Jonh Magufuli  kuhusu mchanga  wa makinikia ya dhahabu .

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE