July 27, 2017

HILI NDILO KABILA AMBALO MWANAMKE HUPENDWA KWA KUCHAPWA FIMBO

Kijana akimchapa fimbo mpenzi wake hadharani wakati wa kumtolea posa 
Mwanamke aliyeozwa akionyesha makavu ya fimbo alizopigwa na mume wake kama ishara ya upendo
# Fahamu kabila la HAMAR , kutoka Ethiopia

Hii sio kanda maalum,ni Ethiopia pekee Mwanamke kuomba kuchapwa viboko kikatili kuonesha Upendo kwa mume wake.. 

......#hawa ni waethiopia wa kabila la Hamar,na hii ya kuchapwa kikatili inaitwa #UKULI BULA..!!

...#Ivi huku kwetu mwanamke anaoneshaje upendo kwa mume wake..nikumbusheni..

Ila Mimi kwa anayenipenda lazima aniaminishe kwa UKULI BULA

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE