July 10, 2017

HALIMA MDEE APANDISHWA KIZIMBANI

. Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amefikishwa katika ukumbi wa wazi wa Mahakama ya Kisutu asubuhi hii akisubiri kesi yake.
Mdee, alikamatwa na Polisi siku sita zilizopita kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi kwa madai ya kumkashifu Rais John Magufuli.
Hapi aliagiza Mdee akamatwe na kuwekwa ndani kwa saa 48 kwa makosa hayo pamoja na ya uchochezi.
Tutaendelea kukujuza kuhusu hatma ya Mdee leo.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE