July 28, 2017

HABARI ZA KILA DAKIKA : WAZIRI MWAKYEMBE MGENI RASMI MASHINDANO YA MBIO ZA MAGARI BAGAMOYO

WAZIRI wa habari ,sanaa ,utamaduni na michezo Dkt Harrison Mwakyembe anatarajia  kuwa mgeni  rasmi katika  uzinduzi wa mbio za magari zitakazofanyika Agosti 4  mwaka  huu Bagamoyo  mkoa wa  Pwani  mtandao  wa matukiodaima kupitia  safu yake ya habari  za  kila dakika umeelezwa .

Kuwa  waziri Dkt Mwakyembe  ndio atakuwa mgeni rasmi na kuwa maandalizi yote ya mashindano hayo yamekamilika .

Endelea  kunufaika na matukiodaimaBlog

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE