July 30, 2017

HABARI YA MUDA HUU. NYOKA ATINGA KANISANI KKKT IRINGA MJINI AWAWA

waumini wa kanisani la kiinjili la kilutheri Tanzania ( KKKT)  usharika wa kanisa kuu wakimtazama nyoka waliyemuua ambae alikuwa ndani ya duka la kanisa 
Kwa mujibu wa mafundi viatu waliokuwepo nje ya kanisa hilo nyoka huyo alionekana toka juzi akizunguka maeneo hayo na walipotaka kumuua walimkosa hadi leo alivyopatikana ndani ya duka la kanisa na muuzaji wa duka hilo 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE