July 31, 2017

HABARI YA MUDA HUU KADA WA CCM AHUSIKA KTK AJALI MJINI IRINGA

wananchi Iringa wakitazama ajali eneo la Tanesco ajali imehusisha gari la kada wa CCM aliyekuwa akitokea stendi kuu kuingia barabara kuu na hivyo kugongana na gari iliyokuwa barabara kuu kuelekea Mshindo 

Kada wa CCM kulia akitazamana na dereva aliyegongana nae hakuna madhara kwa binadamu na polisi wapo eneo la tukio  

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE