July 29, 2017

HABARI YA DAKI :AJALI IMETOKEA SAMORA MJINI IRINGA

Wananchi wakazi wa mjini Iringa wakishuhudia ajali ya Bajaji kuacha njia na kupinduka eneo la samora mchana huu 
Wasamaria wema wakisaidia kuinua Bajaji iliyokuwa imepinduka eneo la Samora hakuna madhara kwa binadamu 

Endelea kuwa nasi kwa habari za dakika na masaa 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE