July 28, 2017

HABARI MPYA :MAHAKAMA KUU YAFUTILIA MBALI RUFAA YA WANAOPINGA UBUNGE WA BULAYA

Mahakama kuu imefuta rufaa iliyofunguliwa na wapiga kura wanne wa jimbo la Bunda kupinga ubunge wa Ester Bulaya wa Chadema, kuepuka gharama zisizo za lazima ktk marudio ya uchaguzi mdogo. 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE