July 28, 2017

HABARI MPYA : ALIYEKUWA KAIMU MENEJA TRA IRINGA AULA

Habari za hivi punde ambazo mtandao huu wa mtukiodaimablog umezinasa na kuthibitishwa na mhusika ni kwamba aliyekuwa kaimu meneja wa TRA mkoa wa Iringa Lamsony Tulianje ambae ameonyesha uwezo mkubwa wa kukusanya mapato ya serikali kupitia kodi ya ardhi, leseni na mashine za Efds ameula baada ya kuwa meneja kamili wa TRA mkoa wa Iringa. 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE