July 21, 2017

DUH HII HATARI MWANAUME AVAA NGUO ZA KIKE KUMFURAHISHA MAMA YAKE

Kweli dunia ipo ukingoni 😆😆😆.... 
Kijana wa miaka 40 amelazimika kuvaa nguo za kike miaka 20 kama mwanamke kumfurahisha mamake mzazi aliyekuwa na huzuni wa kumpoteza mtoto wake wa kike, 

Imeelezwa kuwa Mama huyu alikuwa na watoto wawili wa kike na wa kiume na mtoto wa kike alifariki na ndie akikuwa akimpenda zaidi hivyo mtoto wa kiume Kwa ajili ya kumfariji mamake alilazimika kuanza kuvaa nguo zilizoachwa na dadake marehemu ili kumfariji mamake ambaye muda wote amekuwa na Furaha kuona mwanae wa kiume akimfariji na kuonekana kama mtoto wake wa kike akiyekuwa amempenda zaidi 

Kisa hiki kimetokea nchini India, ahsante kwa kuendelea kufuatilia matukio mbali mbali na kujitangaza na mtandao wako wa matukiodaimablog tumerejea hewani endelea kuwa nasi daima

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE